Watoto 300 wapokea huduma bila malipo kule Nanyuki

  • | KBC Video
    12 views

    Zaidi ya watu-300 walio na matatizo ya viungo walipokea matibabu bila malipo kwenye hospitali ya matibabu maalum ya Nanyuki. Kambi hiyo ya matibabu iliyoandaliwa na serikali ya kaunti ya Laikipia kwa ushirikiano na wataalamu kutoka Uingereza ilivutia wagonjwa kadhaa kutoka kaunti za Laikipia, Meru, Nyeri, Isiolo na Samburu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #freemedical #nanyuki