watoto 31 waliozaliwa kabla ya wakati wao kutimia wako katika hali mbaya

  • | VOA Swahili
    44 views
    Maafisa wa afya wasema watoto 31 waliozaliwa kabla ya wakati wao kutimia wako katika hali mbaya sana japo wamehamishwa salama kutoka hospitalini, huku zaidi ya wagonjwa 250 waliokuwa na majeraha mabaya.