Watoto adimu wa chui milia walioneshwa kwa mara ya kwanza

  • | BBC Swahili
    635 views
    Watoto wawili wa chui milia, ambao ni spishi ndogo na adimu walio katika hatari ya kutoweka, wameonyeshwa hadharani kwa mara ya kwanza tangu kuzaliwa kwao mwezi Juni. Chui milia wa Sumatra hupatikana katika kisiwa cha Indonesia cha Sumatra pekee. #bbcswahili #ujerumani #wanyama