Hali ya ukame katika Kaunti ya Mandera inaendelea kuwa mbaya zaidi huku ikiathiri vibaya maelfu ya wakazi. Utapiamlo sasa umeiibuka kama tishio kubwa la kibinadamu, haswa miongoni mwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano na wazee.Kulingana na shirika la msalaba mwekundu, mzigo wa utapiamlo umefikia viwango vikubwa, huku zaidi ya watoto elfu 69 walio chini ya umri wa miaka mitano wakiathiriwa katika kaunti hiyo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive