Watoto Samburu wakabiliwa na utapiamlo

  • | Citizen TV
    318 views

    Jamii ya wafugaji kaunti ya Samburu inakabiliwa na changamoto za uongojwa wa utapiamlo miongoni mwa watoto. Hali hiyo imetokana na ukosefu wa lishe bora ambao umechangiwa na kiangazi cha muda mrefu kilichosababisha mifugo kufariki. Wataalamu wa lishe kaunti hiyo wamewataka wanahabari kutumia rasilmali zao kuelimisha jamii kuhusu ugonjwa huo na mbinu za kuukabili.