Watoto wa Ghana wachukuliwa kwa nguvu kutoka katika makazi yao

  • | BBC Swahili
    523 views
    Uchunguzi wa BBC Africa Eye umeibua wasiwasi mkubwa kuhusu mojawapo ya mashirika makubwa duniani ya kupambana na utumwa na operesheni zao za Afrika Magharibi. Operesheni ya Kimataifa ya Haki (IJM) ilikusanya zaidi ya pauni milioni tatu nchini Uingereza mwaka jana kwa msaada wa kutoka karibu makanisa 300 kote nchini. Baadhi ya shughuli zinazofadhiliwa na fedha nchini Ghana, IJM inalenga kuwaokoa watoto waliosafirishwa na kuwaunganisha na familia zao. Hata hivyo, uchunguzi wa siri wa BBC umepata ushahidi kwamba shughuli za shirika hilo la kutoa misaada zimesababisha baadhi ya watoto kuchukuliwa kutoka kwa familia zao, katika msako mkali wa usiku. #bbcswahili #ghana #afrcaeye