Watoto wa miaka 7-9 wameanza kutumia pombe

  • | Citizen TV
    193 views

    Utafiti wa hivi punde kuhusu utumizi na uraibu wa dawa za kulevya na pombe umebaini kuwa watoto walio na umri wakati ya miaka saba na tisa wanatumia vileo.