- 48 viewsWatoto katika kaunti ya Turkana wamefanya uchaguzi wa viongozi wa watakaowawakilisha katika Bunge la Watoto.Uchaguzi huo uliofanyika kupitia kura ya siri unalenga kuwaandaa watoto kuwa viongozi kando na kuwaelekeza kuhusu utetezi wa haki na demokrasia. Cheboit Emmanuel alihudhuria hafla hiyo na kuandaa taarifa ifuatayo.