Watoto wafariki kutokana na surua katika kambi ya Bulengo, mashariki mwa DRC

  • | VOA Swahili
    235 views
    Umoja wa Mataifa hivi karibuni ulitahadharisha kuwepo mgogoro wa kibinadamu katika DRC ambapo "bado hali ni mbaya sana” na “umegubikwa na vitu vingi” ikiwemo vita. Kulingana na ofisi ya UN inayohusika na kuratibu masuala ya kibinadamu, OCHA, watu milioni 26 wanahitaji misaada ya kibinadamu na kuna watu zaidi ya milioni 6.3 waliokoseshwa makazi ndani ya nchi, idadi ya juu kabisa Afrika. #DRC #RDC #Goma #M23 #Wagner #WagnerGroup #Congo #Rwanda #Refugees #WorldRefugeeDay #WithRefugees #RefugeeDay #VOARefugees #VOAWorldRefugeeDay