Watoto walio na matatizo ya midomo wanufaika katika kaunti ya Embu

  • | KBC Video
    17 views

    Watoto kutoka familia maskini katika kaunti ya Embu ambao wana matatizo ya mdomo wamenufaika kutokana na huduma za matibabu na upasuaji bila malipo kwa hisani ya chama cha wauguzi kwa ushirikiano na idara ya afya katika kaunti hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News