Skip to main content
Skip to main content

Watoto wanne ndugu waliozama wakiogelea wazikwa Kisumu

  • | NTV Video
    1,068 views
    Duration: 1:33
    Hali ya huzuni ilitanda katika kijiji cha Kanyakwar huko Kisumu wakati wa mazishi ya watoto wanne ndugu ambao walizama wakiogelea katika mabwawa yaliokuwa yameachwa wazi wiki tatu zilizopita. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya