Watoto wavishwa pete za shanga kuashiria wataozwa kaunti ya Samburu

  • | Citizen TV
    467 views

    Tamaduni ya kuwavisha Pete za shanga watoto wa kike katika jamii ya wafugaji ya Wasamburu,kama ishara ya kuwaoza mapema imetajwa kuathiri elimu yao kwa kiwango kikubwa. Hali ambayo imewakera wadau mbali mbali pamoja na serikali na kuwashinikiza kuanzisha mchakato wa kutoa hamasisho dhidi ya mila hiyo ili kumuokoa mtoto wa kike eneo hilo.