Watoto wawili waangamia kwenye mkasa wa moto katika kijiji cha Nyanduma, eneo la Lari

  • | KBC Video
    46 views

    Wakazi wa kijiji cha Nyanduma eneobunge la Lari kaunti ya Kiambu wamepigwa na butwaa wakiwaza na kuwazua kufuatia vifo vya watoto wawili waliochomeka katika nyumba yao. Watoto hao wawili yasemekana wakifungiwa kwenye nyumba na mama yao aliyeelekea kanisani na kisha moto ukateketeza nyumba hiyo. Juhudi za majirani za kuwanusuru watoto hao ziligonga mwamba kutokana na makali ya moto. Nancy Okware na taslifu kamili kuhusu mkasa huu huku polisi wakiendeleza uchunguzi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive