Watoto wawili waokolewa gari la kebo Pakistan

  • | BBC Swahili
    894 views
    Watoto wawili katika kundi la watu nane waliokwama kwenye gari la waya linaloning'inia juu ya bonde nchini Pakistani waokolewa na zoezi la uokoaji linaendelea kwa wengine waliosalia kwenye Kulikuwa na jumla ya watu nane wakiwemo watoto sita na walimu wawili waliokwama mita 274 (futi 900) kutoka ardhini kwa saa kadhaa huko Battagram, watu hao walikuwa wakielekea shuleni. #BBCSwahili #Pakistan #ajali