Watoto wawili wapatikana wamezikwa katika kaburi shambani mwa nyanya yao, kijiji cha Sibaik Kericho

  • | NTV Video
    737 views

    Huzuni ilitanda katika kijiji cha Sibaik eneo bunge la Bureti kuanti ya Kericho, baada ya miili ya watoto wawili wenye umri wa miaka 6 na 8, kupatikana imezikwa katika kaburi shambani mwa nyanya yao. Tukio hili linajiri siku chache baada ya mama wa watoto hao kuondoka na wawili hao asionekane tena.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya