Watoto wawili wauawa Murera eneo la Juja

  • | Citizen TV
    Huzuni imetanda katika Kijiji cha Murera eneo bunge la Juja kaunti ya Kiambu baada ya watoto wawili wa darasa la kwanza na la pili kuuawa. Familia hio sasa inalilia haki sasa, ikidai kuwa mama ya mmoja wa watoto hao alitishiwa kuuawa na mshukiwa wa mauaji haya.