Watu 10 wamezuiliwa na polisi eneo la Mlima Elgon kwenye operesheni ya kuangamiza pombe haramu

  • | Citizen TV
    422 views

    Watu kumi wanazuiliwa na polisi huku zaidi ya lita 300 za pombe haramu zikinaswa katika eneo la Chesikaki, huko Mlima Elgon, kwenye operesheni ya kuangamiza pombe haramu iliyoendeshwa na maafisa wa polisi, machifu na wazee wa nyumba kumi.