Watu 101 wamehamishwa hadi maeneo salama baada ya kuathirika na mafuriko Baringo

  • | KBC Video
    279 views

    Watu 101 wamehamishwa hadi maeneo salama baada ya kuathirika na mafuriko katika eneo la Eldume, kaunti ndogo ya Baringo Kusini katika Kaunti ya Baringo kufuatia shughuli ya uokoaji ya mashirika mbalimbali. Haya yanajiri huku madereva kadhaa wanaotumia barabara kuu ya Kitale-Lodwar wakiwa wamekwama kwa zaidi ya saa 24 baada ya barabara katika eneo la Lous kaunti ya Pokot Magharibi kukatika kufuatia mvua kubwa iliyonyesha.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News