Watu 11 wafikishwa Mahakamani huko Kilifi wachunguzwa kwa madai ya mauaji kijijini Binzaro

  • | Citizen TV
    311 views

    Washukiwa 11 waliokamatwa na maafisa wa upelelezi katika kijiji cha Binzaro eneo la Shakahola walifikishwa katika mahakama ya Malindi na kushtakiwa mbele ya hakimu mwandamizi Joy Wesonga.