Watu 11,000 kufikia sasa wamefariki Uturuki na Syria

  • | Citizen TV
    2,770 views

    Zaidi ya saa 48 baada ya mitetemeko ya ardhi kutokea nchini Uturuki na Syria, waokoaji wameendelea kuchakura vifusi kutafuta manusura zaidi huku idadi ya waliofariki sasa ikiwa ni zaidi ya 11,000.