Watu 115 wauawa huku wengine wakijeruhiwa katika shambulizi la kigaidi jijini Moscow, Russia

  • | Citizen TV
    1,374 views

    Zaidi Ya Watu Mia Moja Wameripotiwa Kufariki Kufuatia Shambulio La Kigaidi Jijini Moscow, Nchini Urusi. Shambulio Hilo La Jana Usiku Lilitekelezwa Na Watu Wenye Silaha Kwenye Jumba Lililokuwa Linaandaa Tamasha La Muziki. Mamia Ya Watu Wamejeruhiwa Huku Ikihofiwa Kuwa Idadi Ya Vifo Huenda Ikapanda..