Watu 12 kati waliofariki katika ajali mbaya eneo la Mbooni wapumzishwa hii leo

  • | TV 47
    47 views

    Watu wawili kati ya zaidi ya 12 waliofariki katika ajali mbaya ya barabarani wiki jana katika eneo la mbooni tarehe 16 mwezi wa disemba katika barabara ya kikima machakos wamezikwa hii leo katika eneo la katheka kai katika kaunti ya machakos na kufikisha idadi ya waliozikwa kuwa 4 baada ya 2 kuzikwa jana huko makueni.wingu la simanzi lilitanda katika mazishi hayo ya wawili hao joshua nzomo sila na mwanawe travis muuo nzomo ambapo ufisadi miongoni mwa maafisa wa polisi wa trafiki ulilaumiwa kwa kusababisha vifo vya wakenya wasio na hatia kila uchao. Wakiaomboleza wanao wazazi wa nzomowameeleza kufadhaika sana kutokana na vifo vya mwanao na mjukuu wao ambao walikuwa na maisha mema katika siku za usoni. __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __