Watu 12 wafariki kufuatia ajali ya barabarani iliyotokea katika daraja la Nithi

  • | Citizen TV
    2,387 views

    Watu 12 wamefariki kufuatia ajali ya barabarani iliyotokea katika daraja la Nithi kaunti ya Tharaka Nithi mapema hii leo. Waliofariki wote walikuwa kwenye gari moja aina ya matatu iliyokuwa ikiwasafirisha abiria waliotoka hafla ya chama kurejea nyumbani kaunti ya Kajiado. Gatete Njoroge anaarifu huku familia za jamaa walioangamia zikiomboleza jamaa waliofariki kwenye ajali hii ya asubuhi