Watu 12 wamelazwa hospitali ya Londiani, Kericho kwa kula nyama hatari

  • | Citizen TV
    1,204 views

    Watu 12 wamelazwa katika hospitali ya Londiani kaunti ya Kericho baada ya kula nyama ya mzoga wa ng'ombe katika kijiji cha Limotit, Kipkelion Mashariki.