Watu 13 wauawa kwenye mlipuko Mandera

  • | KBC Video
    182 views

    Watu 13 walifariki baada ya kulipuliwa kwa kilipuzi, katika mji wa Elwak, kaunti ya Mandera. Duru za polisi zinadokeza kuwa shambulizi hilo lililotokea nje ya mkahawa mmoja katika mji wa Elwak, ambao mara nyingi hutembelewa na watu wasio wenyeji huenda lilitekelezwa na wanamgambo wa kundi haramu la Al-Shabaab. Hili ni shambulizi la pili la aina hiyo kutekelezwa kwa rukwama inayovutwa kwa punda.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive