Watu 130 waambukizwa virusi vya korona huku mgonjwa mmoja akiaga dunia

  • | KBC Video
    Kiwango cha maambukizi ya ugonjwa wa covid-19 humu nchini kimesalia chini ya asilimia 5 licha ya watu 130 zaidi kuambukizwa virusi vya korona. Mgonjwa mmoja hata hivyo ameaga dunia huku wengine 66 wakithibitishwa kupona ugonjwa huo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive