- 7,369 viewsDuration: 2:01Takriban watu 131 wameripotiwa kufariki kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), huku zaidi ya visa 513 vikiripotiwa, maafisa wa eneo hilo wamesema. Msemaji wa serikali ya DRC ametangaza kuwa visa vya ugonjwa huo kwa sasa vinaripotiwa kutoka maeneo tofauti nchini humo ikilinganishwa na awali. Mwandishi wa BBC @frankmavura anasimulia zaidi. #bbcswahili #DRC #Ebola Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw