Watu 139 walipelekwa katika hospitali kuu ya Kenyatta kufuatia maandamano ya hapo jana

  • | Citizen TV
    1,543 views

    Watu 139 walipelekwa katika hospitali kuu ya Kenyatta kufuatia maandamano ya hapo jana. Kulingana na taarifa kutoka kwa wahudumu wa afya katika hospitali hiyo, baadhi ya waliofikishwa hospitalini walikuwa na majeraha ya risasi za raba. Japo wengine waliruhusiwa kwenda nyumbani, wengine bado wanaendelea kutibiwa,