Watu 14 wafariki kufuatia ajali ya barabani kaunti ya Turkana

  • | K24 Video
    81 views

    Takriban watu 14 wamefariki katika ajali iliyotokea kwenye barabara kuu ya Lodwar-Kakuma, kaunti ya Turkana. Inadaiwa ajali hiyo ilitokea baada ya dereva kushindwa kulidhibiti gari hilo akikwepa kumgonga ngamia.