Watu 14 wafariki kwenye ajali mbili tofauti

  • | Citizen TV
    5,774 views

    Watu kumi na wanne wa familia moja wamefariki katika saa ishirini na nne kwenye ajali mbili tofauti zilizotokea katika kaunti za Nakuru na Kericho. Familia moja katika eneo la Flamingo, Nakuru iliwapoteza jamaa zao wawili baada ya gari lao kugonga lori lililokuwa limegeshwa katika eneo la Ngata bridge. Kwenye ajali ya pili, watu saba walifariki baada ya gari lao kugongana na trela