Watu 14 wamefariki kwenye ajali ya jana usiku kaunti ya Turkana

  • | Citizen TV
    1,186 views

    Watu 14 walifariki na wengine 13 kujeruhiwa kufuatia ajali ya katika barabara ya Lodwar - Kakuma jana usiku. Ajali hiyo ilitokea baada ya dereva wa lori lililokuwa likisafirisha abiria na mizigo kukosa mwelekeo na kuanguka katika mtaro kandokando ya barabara. Na kama Laura Otieno anavyoarifu, miongoni mwa waliofariki ni watoto wanne.