Watu 14 wapoteza maisha baada ya basi la chuo kikuu cha Pwani kuhusika katika ajali ya barabarani

  • | K24 Video
    151 views

    Watu 14 wamepoteza maisha baada ya basi la chuo kikuu cha Pwani kuhusika katika ajali ya barabarani hii leo. Basi hilo ambalo lilikuwa limebeba zaidi ya watu 30 linaripotiwa kugongana na matatu katika eneo la kayole kaunti ndogo ya naivasha , barabara kuu ya Nairobi –Nakuru. Watu hamsini waliojeruhiwa walihudumiwa katika vituo tofauti vya afya. Basi hilo lilikuwa linaelekea mjini Eldoret kwa hafla ya michezo kabla ya kupoteza mwelekeo na kugonga matatu.