Watu 14 wapoteza maisha kufuatia ajali mbaya kwenye barabara ya Lodwar kuelekea Kakuma

  • | KBC Video
    20 views

    Watu 14 walipoteza maisha jumamosi usiku huku wengine 12 wakijeruhiwa kufuatia ajali ya barabarani iliyotokea katika barabara kuu ya Lodwar - Kakuma katika kaunti ya Turkana. Waliofariki ni pamoja na wanawake wanane, wanaume watatu na watoto watatu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #accidentnews #News

    accident