Watu 15 wafariki, zaidi ya 100 hawajulikani walipo Uganda

  • | BBC Swahili
    1,149 views
    Timu ya wafanyakazi wa Chama cha Msalaba Mwekundu cha Uganda (URCS) wanafanya jitihada kwa ushirikiano na mamlaka za mitaa na wanajamii kutafuta walioathirika na maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na mvua kubwa katika Wilaya ya Bulambuli, Uganda, Novemba 28, 2024. - - - #bbcswahili #uganda #maporomokoyardhi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw