Watu 16 wanaoaminika kuwa wanachama wa genge la uhalifu la 'Confirm' wakamatwa jijini Nakuru

  • | Citizen TV
    2,715 views

    Watu kumi na sita wanaoaminika kuwa wanachama wa genge la uhalifu la Confirm wamekamatwa jijini Nakuru usiku wa kuamkia leo