Watu 16 waumwa na kujeruhiwa na nyani eneo la Lessos, Kitale

  • | Citizen TV
    5,191 views

    Mtoto mmoja mwenye umri wa miaka mitatu ndiye w ahivi punde kuumwa na nyani katika eneo la Lessos, viungani mwa mji wa Kitale, kaunti ya Trans Nzoia. Hatua hiyo sasa imefikisha idadi ya walioshambuliwa na kuumwa na nyani hao kuwa 15 katika kipindi cha chini ya miezi miwili. Na kama anavyoarifu Collins Shitiabayi, Matukio hayo yamesababisha Shirika la KWS kuwauwa nyani watatu huku wakianzisha uchunguzi kuhusua athari za kiafya kwa waliong'atwa.