7 May 2026 1:32 pm | Citizen TV 210 views Watu wawili wamekamatwa na maafisa wa usalama katika eneo la Nakuru Magharibi kwenye operesheni ya usalama iliyofanywa usiku wa kuamkia leo, ambapo jumla ya simu za mkononi 305 zinazoaminika kuibwa zilipatikana.