Watu 200 kupewa mafunzo ya kiufundi mjini Bumula eneo la Bungoma

  • | Citizen TV
    266 views

    Kama njia mojawapo ya kukabili ukosefu wa ajira nchini wakazi zaidi ya 200 katika eneo Bunge la Bumula kwenye Kaunti ya Bungoma wamefadhiliwa kusomea kozi mbalimbali katika chuo cha kiufundi cha KITI mjini humo.