Skip to main content
Skip to main content

Watu 21 wafariki kufuatia maporomoko ya udongo

  • | Citizen TV
    9,532 views
    Duration: 3:32
    Watu 21 wamefariki kufuatia maporomoko ya ardhi eneo la chesongoch, kaunti ya elgeyo marakwet. Watu wengine thelathini hawajulikani waliko huku shughuli ya uokoaji ikendelea. Na kama anavyoarifu emily chebet, maporomoko hayo yalisababisha uharibifu mkubwa wa barabara na kulazimu serikali kutumia ndege kuwafikia waathiriwa.