Watu 238 wamefariki kutokana na mafuriko nchini

  • | Citizen TV
    6,152 views

    Idadi ya waliofariki kutokana Na mafuriko nchini sasa imefikia watu 238 huku zaidi ya watu 240,000 wakisalia bila makao. Katika kaunti ya Kakamega familia mia mbili zilihama kwao baada ya mto Kipsangui kuvunja kingo zake. Aidha wakazi wa Garissa sasa watasalia bila maji baada ya miundombinu ya kusambaza maji kugubikwa na maji.