Watu 3 wafariki katika chimbo la mawe kokotoni Malindi

  • | Citizen TV
    890 views

    Watu watatu wamefariki na mmoja kuokolewa baada ya kuangukiwa na vifusi walipokua wakichimba mawe katika Kijiji Cha kokotoni viungani mwa mji wa Malindi kaunti ya Kilifi.