- 153 views
Watu watatu wanaoshukiwa kuhusika na visa vya utekaji nyara na wizi katika kaunti nne wamefikishwa katika mahakama ya Murang'a baada ya kukamatwa Ijumaa wiki iliyopita.. Washukiwa hao watatu Godfrey Njeru, Caroline Kairu na Caroline Mueni walifikishwa mbele ya hakimu mkuu mkaazi Erick Musambai ambapo walikana mashtaka saba yanayowakabili yakiwemo wizi, utekaji nyara na kupokea pesa kwa njia ya udanganyifu. Washukiwa hao walikuwa wanasakwa katika kaunti nne za Nairobi, Murang’a, Kiambu na Nakuru kwa kuhusika na visa kadhaa vya uhalifu. Hakimu musambai aliamuru wazuiliwe kwa siku saba na wanatarajiwa tena mahakamani tarehe 20 mwezi huu. Washukiwa hao walikamatwa katika eneo la Kangema baada ya polisi kupokea habari kwamba walikuwa wamemteka nyara mwanamke mmoja na kutishia kumuua iwapo familia yake haitawalipa fedha..
Watu 3 wanaohusishwa na utekaji nyara katika kaunti 4 washtakiwa Murang'a
- 22 Jul 2025 - In the remote, sun-scorched landscapes of northern Kenya, Marsabit County is emerging as a proud example of a region battling the harsh realities of climate change. Once flush with green pastures and abundant livestock, the area is now grappling with…
- 22 Jul 2025 - Since President William Ruto (UDA/Kenya Kwanza) and ODM leader Raila Odinga entered into a political pact to form a broad-based government on March 7, 2025, the country’s political landscape has undergone a dramatic transformation. This shift has been…
- 22 Jul 2025 - Mo Ibrahim cautions against Ruto's push for African credit rating agency
- 22 Jul 2025 - CAF gives nod to Kenya, Uganda and Tanzania after completing checks
- 22 Jul 2025 - Broken promise: Inside collapse of UNOPS Habitat Heights project
- 22 Jul 2025 - Principals warn of crisis in transition to Grade 10
- 22 Jul 2025 - Murder in Ward 7B: Mysterious Kalombotole and KNH horror
- 22 Jul 2025 - Ground shifting beneath Ruto, Raila feet in Western
- 22 Jul 2025 - Wave of unrest shakes schools as learners protest abuse, neglect
- 22 Jul 2025 - Rangers charged with fisherman's abduction still on duty, court told