Watu 3 zaidi wamefariki punde zaidi kaunti ya Kilifi

  • | Citizen TV
    1,817 views

    Watu watatu zaidi wamefariki kaunti ya Kilifi huku idadi ya waliofariki kutokana na athari za mafuriko kaunti hiyo ikifika watu 9. Kwengineko, miili ya wakazi wawili kaunti ya Kericho ingali inatafutwa baada ya kusombwa na maji huku maafa pia yakiripotiwa kaunti ya Kitui.