Watu 33 waambukizwa virusi vya korona huku kiwango cha maambukizi kikishuka hadi asilimia 0.9%

  • | KBC Video
    Watu 33 wamethibishwa kuambukizwa virusi vya korona kutokana na sampuli 3,530 zilizopimwa huku kiwango cha maambukizi kwa sasa kikiwa asilimia 0.9% katika muda wa saa 24 zilizopita. Kufikia sasa,jumla ya visa 252,066 vimenakiliwa huku jumla vya watu 2,642,637 wakiwa wamepimwa kufikia sasa. Jumla ya idadi ya wagonjwa waliofariki imeongezeka hadi 5,224. Hii ni baada ya mtu mmoja zaidi kufariki leo kutokana na ugonjwa wa huo . Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #ThisIsKBC #News #Covid19