Watu 34 wakiwemo wanajeshi 10 wafariki kutokana na mioto ya Algeria

  • | Citizen TV
    5,368 views

    Watu 34 wakiwemo maafisa10 wa polisi wamefariki kwenye moto mkubwa ulioenea nchini huku maelfu ya watu wakihamishwa kutoka kwa nyumba zao.