Skip to main content
Skip to main content

Watu 4 wanaohusishwa na ukataji wa miti msituni wakamatwa Bangale Tana River

  • | Citizen TV
    645 views
    Duration: 2:12
    Watu 4 wamekamatwa na maafisa wa kulinda misitu na wanazuiliwa katika kituo cha polisi cha Bangale,kwa tuhuma za kuendesha shughuli haramu ya ukataji miti na uchomaji haramu wa makaa ndani ya Misitu ya jamii, kaunti ya Tana River