- 601 viewsDuration: 3:15Wanawake wanne wanauguza majeraha mbalimbali kufuatia mkurupuko wa watu uliotokea kwenye zoezi la kugawa chakula cha msaada mjini Kikima eneo bunge la Mbooni kaunti ya Makueni. Wakaazi wa eneo hilo sasa wanaitaka serikali kuwacha kuwatumia wanasiasa kugawa chakula cha msaada na badala yake kuwapa maafisa wa utawala jukumu hilo ili kuepuka visa kama hivi.