Watu 45 wafariki kufuatia mafuriko Mai Mahiu

  • | KBC Video
    51 views

    Yamkini watu 45 wamethibitishwa kuaga dunia huku wengine zaidi ya 100 wakiuguza majeraha kufuatia mafuriko yaliyosomba nyumba kadhaa katika eneo la Mai Mahiu kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha. Serikali za kaunti za Kiambu na Nakuru zinashirikiana na shirika la Msalaba Mwekundu humu nchini kutekeleza shughuli za utafutaji na uokoaji huku kukiwa na hofu kwamba miili zaidi huenda imesakama kwenye tope.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive