- 261 viewsDuration: 1:55Watu sita zaidi wamekamatwa kwa kuhusika na wizi wa mitihani katika maeneo mbalimbali nchini. Visa hivi vya punde vikiripotiwa kaunti za Pokot Magharibi, Bomet na Garissa huku idadi ya jumla ya waliokamatwa ikifikia watu 45. Walionaswa kwenye kesi hizi za udanganyifu wakijumuisha wasimamizi wa mitihani, walimu pamoja na wanafunzi