Watu 48 wafariki baada ya bwawa la Old Kijabe kupasua kingo zake

  • | K24 Video
    220 views

    Watu 48 wamefariki baada ya bwawa la Old Kijabe kupasua kingo zake na kusababisha maafa ya vifo na hasara ya mali ya makazi zaidi ya 30 katika kijiji cha Kamuchiri eneo la Mai Mahiu kaunti ya Nakuru. Kati ya waliofariki ni watoto 17. Mmaafa haya yalitibuka maajira ya usiku wakazi walipokuwa wamelala.